Uchaguzi 2020 Majimbo ambayo rufaa zake hazijatolewa na Tume

Uchaguzi 2020 Majimbo ambayo rufaa zake hazijatolewa na Tume

Hii sio haki. Sikuwahi kufikiria nchi ingefikia hali hii.
Watanzania huu ushetani sijui tumeutoa wapi.
 
Tanga ni
1600872198101.png
 
Naona Waisraeli tunazidi kuchanja mbuga.

Ukiangalia Nzega Vijijini, Handeni Vijijini na Morogoro Kusini Mashariki ni majina ya watu kutoka Israel the Nation of God.

Marekani wenyewe hawathubutu kuwadhulumu Waisraeli maana ndiyo wenye akili na weledi wa kujenga nchi kiuchumi.

Huku kwetu hatujagundua bado, ila ukweli ni kwamba Waisraeli tumehujumiwa haswa na hili balaa litaisha iwapo hujuma zitakoma.

Israel Mungu yu pamoja nasi, Amina!
 
Anayetoa maelekezo kila Jumapili yuko kanisani kiti cha mbele, kila kukicha anatuomba tumuombee .... Sijui aombewe kwa lipi? Tuna wanafiki nchi hii mpaka basi tu..!!
Nilishahama kanisa kukwepa kushirikiana ibada na wanafiki
 
They are less than that,wanaushawishi gani?Hawa jamaa wanatakiwa kuwekwa makumbusho for future generation to see what a monster they were.
 
Secretary aliye-type hiyo kazi analipwa Mshahara bei gani?

"Uhamuzi"
 
Hayo mamlaka ya kupitisha wagombea bila kupingwa wanayatoa wapi wakati mamlaka yote yanatoka kwa wananchi , wao kazi yao ni kusimamia uchaguzi tu , habari ya kupitisha au kutopitisha wagombea sio kazi yao . Hebu waeleze na sababu nini ? Tuone Kama Zina mashiko ? Kama sio pumba tupu .View attachment 1578381
NWO since 2012
 
Ifike mahali tuseme sasa basi, tuundishe vikundi vya siri vya kigaidi ili ujinga kama ukitokea wahusika wanatekwa fasta na kusulubiwa! Tutapita wawili watatu watajirudi!
 
Anayetoa maelekezo kila Jumapili yuko kanisani kiti cha mbele, kila kukicha anatuomba tumuombee .... Sijui aombewe kwa lipi? Tuna wanafiki nchi hii mpaka basi tu..!!
Maombi ya mtenda dhambi ni makelele mbele za Mungu
 
Back
Top Bottom