Uchaguzi 2020 Majimbo ambayo rufaa zake hazijatolewa na Tume

Kwenye hii engua engua, tume iliwajazia form wagombea wa CCM.
 
Suzana Kiwanga alikuwa mbunge wa Mlimba, Ina maana mwaka 2015 aliweza kujaza fomu vizuri, lakini mwaka 2020 amekosea?

Ujinga + upumbavu = ...
 
Tume hii ni ya hovyooo kabisa. Suala la unyama aliofanyiwa Bi. Suzan Kiwanga kule Mlimba na Msimamizi wa uchaguzi (video clips zipo) lipo wazi. Tume inapata wapi kigugumizi cha kumpa haki yake kugombea? Haya yatakuwa ni maagizo toka juu. Tume ya kifala kabisa itakayosababisha maafa nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…