Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

PapoKwaPapo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2008
Posts
380
Reaction score
45
ubungo.......CHADEMA
kawe...........chadema
iringa mjini.....chadma
mbeya mjini.....chadema
moshi mjini.......chadema
kigoma kaskazini.....chadema
tanga mjini......CUF
mtwara mjini.....CUF
hai.....chadema
vunjo....TLP
rombo....chadema
ngoja nifuatilie mengine aiseeee
 
ubungo.......chadema
kawe...........chadema
iringa mjini.....chadma
mbeya mjini.....chadema
moshi mjini.......chadema
kigoma kaskazini.....chadema
tanga mjini......cuf
mtwara mjini.....cuf
hai.....chadema
vunjo....tlp
rombo....chadema
ngoja nifuatilie mengine aiseeee


bukombe- chadema
 
kibondo-chadema
kasulu-NCCR
Nyamagana ==Chadema
Musoma===Chadema
Vunjo====TLP
 
heko mnyika kupita ubungo naaaam hope na diwani kapita pia
 
kama ni kweli basi sasa watanzania tumebadilika!
 
ubungo.......CHADEMA
kawe...........chadema
iringa mjini.....chadma
mbeya mjini.....chadema
moshi mjini.......chadema
kigoma kaskazini.....chadema
tanga mjini......CUF
mtwara mjini.....CUF
hai.....chadema
vunjo....TLP
rombo....chadema
ngoja nifuatilie mengine aiseeee
wadau naombeni matokeo ya tabora na lushoto
 
kwa taarifa za uhakika Zungu wa CCM kachukua ilala
piA CHADEMA wamechuka jimbo la KINONDONI
 
kwa taarifa za uhakika Zungu wa CCM kachukua ilala
piA CHADEMA wamechuka jimbo la KINONDONI

Pls confirm hapa kwa kinondoni; Una maana mgendi kachukua? kama amechukua siendi kazini sasa mimi naenda mitaani naweka na bendera yangu uzuri
 
Watanzania sasa tumekomaa na kuelimika hakuna woga tena!!!!
 
Hongera JF kwa kutuhabarisha. Jamani kwa mzee Six vipi? (Standard and speed?). Presha imepanda au imeshuka? Na jimbo la Mbeya vijijini nani mwenye taarifa? Atuhabarishe!!!:bowl:
 
Back
Top Bottom