Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

Once people's power prevail change is possible.............................................
 
ubungo.......CHADEMA
kawe...........chadema
iringa mjini.....chadma
mbeya mjini.....chadema
moshi mjini.......chadema
kigoma kaskazini.....chadema
tanga mjini......CUF
mtwara mjini.....CUF
hai.....chadema
vunjo....TLP
rombo....chadema
ngoja nifuatilie mengine aiseeee

Bwana mapesa amechukua Bariadi
Nyamagana CHADEMA
 
Ni raha iliyoje hatua na mwanzo mzuri sana kuelekea 2015.
 
Hizi ni habri nzuri sana..Tanzania inaelekea pazuri sasa maana hawa wakiwa makini CCM watakuwa hawana choice zaidi ya kuwatumikia wananchi tuu,keep them coming!
 
Walifikiri watanzania wa mwaka 2000 ndio wale wale wa 2010 ndio tatizo la chi chi chi chi chi kufikiri watanzania ni vilaza wao.
 
guys this is serious let us wait to see the result come end of business today
 
Jamani taarifa za Tundu Lissu kule Singida Mashariki vipi?
 
Pia Jimbo la BABATI VIJINI, KWA TETESI NILIZOPATA ameshinda TARA Surumbu wa NCCR Mageuzi. Naomba kama kuna mtu mwingine amesikia anifahamishi, maana huyo aliyenipa habari ni kada CCM, natafuta mwingine wa kuhakikisha.
 
Jamani, nasikia raha! Vipi data za uraisi hali ikoje ktk majimbo hayo! Wagombea wa CHADEMA ktk majimbo hayo, tafadhali tujumlishieni kura za urais kutoka ktk vituo vyote vilivyokokwenye majimbo yenu kisha mturushie hapa. Hamu inazidi.
 
Vipi Mpiganaji Tindu Lissu! Mwenye taarifa tafadhali tudondoshee hapa.
 
Sasa Jamani Hawa CcM watakuwa wamekabwa kooo,, wanasubiri vijijini waka tupige gape...
 
Upinzani oyeeeeeeeeeeeeeee......................
Nimefurahi na roho yangu
 
Wanasema Shitambala ameshindwa Mbeya vijijini!! Lazima itakuwa wamechakachua.
 
aaawww, I love Tanzania!!!

Once a beacon in Africa independence liberations, now a beacon in democratic changes worldwide!!! 🙂
 
Back
Top Bottom