Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

i am happy koz hata chadema ispochukua urais basi kuna a lot of wabunge wapinzani so the mjengo will be hot
 
i am happy koz hata chadema ispochukua urais basi kuna a lot of wabunge wapinzani so the mjengo will be hot

mkuu uko sahihi sana, cha muhimu ni kuwa na idadi ya wabunge wengi ili tujenge sheria imara
 
Kwenye nyekundu, are you serious? Unataka kusema kwamba Nchimbi ameanguka? Na vipi kuhusu jimbo la Mbinga kwa Komba wa TOT?

Habari za kuaminika ni kuwa Nchimbi kaangukia pua huko Songea!!
 
Habari za kuaminika ni kuwa Nchimbi kaangukia pua huko Songea!!

Ha ha ha ha ha ha acha nicheke mie!!! Natamani habari hizi ziwe za kweli. Maana tusije tukaambiwa kaanguka halafu baadaye tukasikia ameshinda.
 
Kwenye nyekundu, are you serious? Unataka kusema kwamba Nchimbi ameanguka? Na vipi kuhusu jimbo la Mbinga kwa Komba wa TOT?

Mbinga kwa mzee wa kwaya sijawa na uhakika nako
 
big up CHADEMA, tumeona kazi yenu tupo nyuma yenu, good start!
 
This is a real change now!!! Hawa jama wanaweza chukua uraisi halafu wakashindwa kutawala!!!

Tunapiga chini katiba, na kuwabana pua tena!!!
 
[FONT=Calibri,sans-serif][FONT=Arial,sans-serif]musoma mjini[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
kigoma kaskazini
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
ubungo
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
moshi mjini
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
hai
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
sumbawanga mjini
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
nkasi kaskazini
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
kahama
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
arusha mjini
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
karatu
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
kiteto
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
iringa mjini
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
mbeya mjini
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
mbeya vijijini
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
nyamagana
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
ilemela
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
mpanda kati
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
songea mjini
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
mbozi mashariki
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
maswa mashariki
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
ukonga
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
kawe
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
kibaha mjini
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
arumeru
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
tarime
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
serengeti
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
singida kaskazini
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
biharamulo
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
Segerea
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
Rombo
[/FONT][FONT=Arial,sans-serif][/FONT][FONT=Arial,sans-serif]
NB: Kama kuna jimbo nimelisahau naomba mnifahamishe
[/FONT]
[/FONT]
 
Tunataka kuona matokeo rasmi, tume ya uchaguzi imepotelea wapi? CCM watakataa matokeo na kulazimisha kuhesabiwa upya. Masanduku yameshalala kusiko julikana. Wanahitaji usiku wa leo tu kubadilisha kila kitu. Jana walikuwa hawajajua.
 
umesahau Ulanga magharibi kwa Prof Mlambiti :israel:
 
Mbozi East na West pia kuna tetesi CHADEMA wanaongoza
 
Nasikia hadi Wasira kule bunda katolewa nje. Source Channel 10
 
[font=calibri,sans-serif][font=arial,sans-serif]musoma mjini[/font][font=arial,sans-serif]
kigoma kaskazini
[/font][font=arial,sans-serif]
ubungo
[/font][font=arial,sans-serif]
moshi mjini
[/font][font=arial,sans-serif]
hai
[/font][font=arial,sans-serif]
sumbawanga mjini
[/font][font=arial,sans-serif]
nkasi kaskazini
[/font][font=arial,sans-serif]
kahama
[/font][font=arial,sans-serif]
arusha mjini
[/font][font=arial,sans-serif]
karatu
[/font][font=arial,sans-serif]
kiteto
[/font][font=arial,sans-serif]
iringa mjini
[/font][font=arial,sans-serif]
mbeya mjini
[/font][font=arial,sans-serif]
mbeya vijijini
[/font][font=arial,sans-serif]
nyamagana
[/font][font=arial,sans-serif]
ilemela
[/font][font=arial,sans-serif]
mpanda kati
[/font][font=arial,sans-serif]
songea mjini
[/font][font=arial,sans-serif]
mbozi mashariki
[/font][font=arial,sans-serif]
maswa mashariki
[/font][font=arial,sans-serif]
ukonga
[/font][font=arial,sans-serif]
kawe
[/font][font=arial,sans-serif]
kibaha mjini
[/font][font=arial,sans-serif]
arumeru
[/font][font=arial,sans-serif]
tarime
[/font][font=arial,sans-serif]
serengeti
[/font][font=arial,sans-serif]
singida kaskazini
[/font][font=arial,sans-serif]
biharamulo
[/font][font=arial,sans-serif]
segerea
[/font][font=arial,sans-serif]
rombo
[/font][font=arial,sans-serif][/font][font=arial,sans-serif]
nb: Kama kuna jimbo nimelisahau naomba mnifahamishe
[/font]
[/font]
kwa nini hawatangazi?
 
Mna uhakika lakini? jaribuni kuleta data
 
Back
Top Bottom