PapoKwaPapo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2008
- 380
- 45
- Thread starter
-
- #281
Mi naamini kabisa Slaa alipata wabunge wa kutosha na kura za kutosha kabisa za kuunda serikali, ila yalichakachuliwa ili kuonyesha kwamaba hakupata wabunge wa kutosha,
haya ni baadhi tuu ya majimbo yaliyochakachuli, tujaribu kuyaorodhesha hapa ili tujue Chadema walipata majimbo mangapi kialali.
naanza na haya wajameni........
1. segerea
2.ukonga
3.tarime
4.sumbawanga mjini
5.hanang
6.kilombero
7.kilosa kwa proff wa SUA
8.bokoba mjini
9.kibaha mjini
10.................................
bukombe hawajachakachua ....prof Kahigi ameshinda kwa CHADEMA.bukombe
buchosa
Mkuu hoja yako ni nzuri lakini ungetaja majimbo yote na sababu ya imani yakoMi naamini kabisa Slaa alipata wabunge wa kutosha na kura za kutosha kabisa za kuunda serikali, ila yalichakachuliwa ili kuonyesha kwamaba hakupata wabunge wa kutosha, haya ni baadhi tuu ya majimbo yaliyochakachuli, tujaribu kuyaorodhesha hapa ili tujue Chadema walipata majimbo mangapi kialali. naanza na haya wajameni........ 1. segerea 2.ukonga 3.tarime 4.sumbawanga mjini 5.hanang 6.kilombero 7.kilosa kwa proff wa SUA 8.bokoba mjini 9.kibaha mjini 10.................................
Mi naamini kabisa Slaa alipata wabunge wa kutosha na kura za kutosha kabisa za kuunda serikali, ila yalichakachuliwa ili kuonyesha kwamaba hakupata wabunge wa kutosha,
haya ni baadhi tuu ya majimbo yaliyochakachuli, tujaribu kuyaorodhesha hapa ili tujue Chadema walipata majimbo mangapi kialali.
naanza na haya wajameni........
1. segerea
2.ukonga
3.tarime
4.sumbawanga mjini
5.hanang
6.kilombero
7.kilosa kwa proff wa SUA
8.bokoba mjini
9.kibaha mjini
10.................................
Katika wanaoboa ni pamoja na wewe, maana umeshindwa kufanya hiyo homework!...unataka wishes zako zitimizwe na nani wewe, umemwajiri mtu hapa ndani au?watu humu wanaboa ile mbaya, wanachonga sana vitendo hamna.
nilichotegemea:
angejitokeza greater thinker mmoja atumwagie data humu za angalau majimbo matatu, jumla ya kura za mwakala wa chadema ngapi na za tume ngapi kama kuna mpishano tuanze kukasirika! lete lete lete