Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

SAHARA VOICE Niondoe ARUMERU MAGHARIBI kwa misingi ipi upo nyuma ya habari fwatilia, utajua ukweli.
 
viti maalumu unazidisha kwa 30% ya idadi ya wabunge ulionao!
 
CCM hata waganga wa kienyeji wanagombea ubunge!!!! kali kweli!

Livingston Lusinde + Ngonyani + Airo + wabunge wengine 37 = JOHN MNYIKA
Ole Sendeka + Deo Sanga + Serukamba + Wabunge wengine 37 = Godbless Lema
Anna Kilango + Mahanga + Jitu Soni + wabunge wengine 37 = John Shibuda
Mwakyembe + Manyanya + Jeremia Sumari + wengine 37 = Zitto Kabwe
Tibaijuka + Membe + Kapuya + wengine 97 = Tundu Lissu
 
Arumeru magharibi ameshinda Ole Medeye yule fisad aliekuwa Mkururugenz wa TCRA
 
* KIGOMA
1. Zaituni Buyogera-Kasulu Vijijijini-NCCR MAGEUZI
2. David Kafulilla-Kigoma Kusini-NCCR MAGEUZI
3. Felix Mkosamali-MUhambwe-NCCR MAGEUZI
4. Moses Machali-Kasulu Mjini-NCCR MAGEUZI
5. Zito Kabwe-Kigoma Kaskazini-CHADEMA

*SHINYANGA
1. John Cheyo-Bariadi Mashariki-UDP
2. John Shibuda-Maswa Magharibi-CHADEMA
3. Sylvester KASulumbayi-Maswa Mashariki-CHADEMA
4. Meshack Opolukwa-Meatu-CHADEMA
5. Prof. Kulikoyela Kahigi-Bukombe-CHADEMA

*KILIMANJARO
1. Augustino Mrema-Vunjo-TLP
2. Freeman MBowe-Hai-CHADEMA
3. Joseph Selasini-Rombo-CHADEMA
4. Philemon Ndesambulo-CHADEMA

*MWANZA
1. Ezekia Wenje-Nyamaghana-CHADEMA
2. Samson Kiwia-Ilemela-CHADEMA
3. Salvatory Machemli-Ukerewe-CHADEMA


*ARUSHA
1. Godbless Lema-Arusha Mjini-CHADEMA
2. Ole Sambu-Arumeru Magharibi-CHADEMA
3. Israel Natse-Karatu-CHADEMA

*MBEYA
1. Joseph Mbilinyi-Mbeya Mjini-CHADEMA
2. David Silinde-Mbozi Magharibi-CHADEMA

*DAR ES SALAAM
1. Halima Mdee-Kawe-CHADEMA
2. John Mnyika-Ubungo-CHADEMA

*LINDI
1. Salumu Barwany-Lindi Mjini-CUF
2. Seleman Bungara-Kilwa Kusini-CUF

*MARA
1. Musoma Mjini-Vincent Nyerere-CHADEMA

*KAGERA
1. Antony Mbasa-Biharanulo Magharibi-CHADEMA

*IRINGA
1. Peter Msigwa-Iringa Mjini-CHADEMA

*SINGIDA
1. Tundu Lisu-Singida Mashariki-CHADEMA

*MANYARA
1. Mustapha Akununaay-Mbulu-CHADEMA
-End-
Kuna uhakika mkubwa tukapata jimbo la Mpanda Mjini mkoa wa RUKWA la Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kwani mpaka sasa yeye ndiye mbunge mtetezi wa jimbo hilo kupitia CHADEMA.


Hapo Arumeru Magharibi kaangalie upya takwimu na kumbukumbu zako. Kumbukumbu zangu zinaonyesha ameshinda Ole Medeye wa ccm.
 
viti maalumu unazidisha kwa 30% ya idadi ya wabunge ulionao!

Magessa, asante kwa hii taarifa nimekuwa naitafuta sana, Hata hivyo naomba unifafanulie kidogo, mwaka 2005 chadema walikuwa na wabunge 5 wakapata nafasi ya ubunge viti 5 nafikiri, lakini sasa ukipiga hesabu kwa 30% unapata maximum vit 7, hii imekaaje

Asante
 
Ni kweli Arumeru Magharibi alishinda Ole Medeye, ambaye alisimamishwa na Lowasa kwa maslahi yake kisiasa, Hata hivyo hao wabunge 22 wa CHADEMA ni sawa na wabunge 400, hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi maslahi ya nchi nzima itawakilishwa na waheshimiwa wa CHADEMA.
 
Hata mimi inanitatiza hiyo ya viti maalum, kwa sababu bunge lililopita wabunge wa viti maalum pamoja na wa kuchaguliwa wa CHADEMA walikuwa 12, sasa sijui hesabu ilikuwaje, nadhani 1 alitoka upande wa vijana, na 1 upande wa disabled.
 
Yaani kweli Mzee Cheyo hamumuingizi kwenye orodha ya wabunge wa upinzani? Kawakosea nini, mzee wa mijipesa?

Amandla.......
 



Wapinzani wabunge kutoka tanzania bara

Arumeru magharibi imeondolewa, vyombo vya habari viliripoti ndivyo sivyo kama vile GAZETI LA MWANANCHI KUWA CHADEMA imeshinda jimbo hilo kumbe si kweli yamebaki majimbo 30 tanzania bara ya upinzani.



* KIGOMA
1. Zaituni Buyogera-Kasulu Vijijijini-NCCR MAGEUZI
2. David Kafulilla-Kigoma Kusini-NCCR MAGEUZI
3. Felix Mkosamali-MUhambwe-NCCR MAGEUZI
4. Moses Machali-Kasulu Mjini-NCCR MAGEUZI
5. Zito Kabwe-Kigoma Kaskazini-CHADEMA

*SHINYANGA
1. John Cheyo-Bariadi Mashariki-UDP
2. John Shibuda-Maswa Magharibi-CHADEMA
3. Sylvester KASulumbayi-Maswa Mashariki-CHADEMA
4. Meshack Opolukwa-Meatu-CHADEMA
5. Prof. Kulikoyela Kahigi-Bukombe-CHADEMA

*KILIMANJARO
1. Augustino Mrema-Vunjo-TLP
2. Freeman MBowe-Hai-CHADEMA
3. Joseph Selasini-Rombo-CHADEMA
4. Philemon Ndesambulo-CHADEMA

*MWANZA

1. Ezekia Wenje-Nyamaghana-CHADEMA
2. Samson Kiwia-Ilemela-CHADEMA
3. Salvatory Machemli-Ukerewe-CHADEMA


*ARUSHA
1. Godbless Lema-Arusha Mjini-CHADEMA
2. Israel Natse-Karatu-CHADEMA

*MBEYA
1. Joseph Mbilinyi-Mbeya Mjini-CHADEMA
2. David Silinde-Mbozi Magharibi-CHADEMA

*DAR ES SALAAM
1. Halima Mdee-Kawe-CHADEMA
2. John Mnyika-Ubungo-CHADEMA

*LINDI

1. Salumu Barwany-Lindi Mjini-CUF
2. Seleman Bungara-Kilwa Kusini-CUF

*MARA
1. Musoma Mjini-Vincent Nyerere-CHADEMA

*KAGERA
1. Antony Mbasa-Biharanulo Magharibi-CHADEMA

*IRINGA
1. Peter Msigwa-Iringa Mjini-CHADEMA

*SINGIDA
1. Tundu Lisu-Singida Mashariki-CHADEMA

*MANYARA
1. Mustapha Akununaay-Mbulu-CHADEMA
-End-
Kuna uhakika mkubwa tukapata jimbo la Mpanda Mjini mkoa wa RUKWA la Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kwani mpaka sasa yeye ndiye mbunge mtetezi wa jimbo hilo kupitia CHADEMA.​
 
chadema imesambaa tanzania nzima.

fact1 kweli hii ni tanzania nzima, mliweka wagombea 179 kati ya 239, = 22 hii waiita tanzania nzima, tutekeleze ilani ya ccm
kidumu chama cha mapinduzi
 
fact1 kweli hii ni tanzania nzima, mliweka wagombea 179 kati ya 239, = 22 hii waiita tanzania nzima, tutekeleze ilani ya ccm
kidumu chama cha mapinduzi

Mbunge moja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 40 wa CCM. Au hujui CCM wamejaa vihiyo?
 
Halafu wanasema CHADEMA ni Chaga Development Manifesto!!!!!!!! Sijui hio mikoa yote ni ya wachaga?
 
Back
Top Bottom