Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

Jamani nihabarisheni................wilaya ya Njombe haijapata hata mpinzani mmoja?
 
Jamani ee TLP nichama pinzani pia kwa yule asiye jua basi akalale
 
31.Dk Harrison Mwakyembe -CCM Masalia
32.Samwel Sitta - CCM Masalia
33.Christopher Ole Sendeka -CCM Massalia
34.Anne Kilango Malechela- CCM Masalia
35.Victor Mwambalaswa: CCM Masalia
36.Godfrey Zambi-CCM Masalia
37.Jenister Mhagama-CCM Masalia
38.Professor Mark Mwandosya
39........
 
Nijuavyo mimi kuna majimbo 52 yamechukuiliwa na upinzani na CCM wamechukua 180. Bado kuna majimbo 7 ambayo Uchaguzi umeahirishwa kutokana na irregularities zilizosababishwa na CCM/NEC. Mbona hii list ni ya majimbo 32 tu ya Wapinzani kivipi?? P'se elaborate.
 

Hapo kwenye red aliyeshinda ni wa CCM angalia vizuri.
 
Haloo ngoma bado ipo jikoni karibu kuliwa tuna majimbo ambayo lazima tuyashinde na ccm waturudishie bila shaka jimbo la shinyanga mjini, kigoma mjini, kilombero, segerea na kibaha mjini, mbozi mashariki kwa dhambi na mbeya vijijini ccm tutawashinda hata mahakamani jamani wadau tusinyamaze tudai haki yetu pindi chadema wwatakapo enda mahakamani tuwa support kwa mawazo na michango yetu ya kifikira na ki utashi wa kisiasa ambao kupitia utashi wa kisiasa ndipo tunawazidi ccm

mzee gomezi
 
Mmmm ok thatks for the in formation kwakuwa nilikuwa sijajua,,, Vyanzo vyangu vilikosea kunipa valid informations
 
Hongeleni sana Nyinyi ndio tuna waamini kwa asilimia 90% tunataka muka fanye kazi nzito ya kuiendeleza Tanzania ili wakati ujao tuongeze majimbo mengine na tuchukue Uraisi kiulaiiiniiii,,, Kila la gheli wabunge wa Chadema May the lord bless you in the Name of the Father,,,, na hizo asilimia 10 zilizo baki na Wabunge mafisadi waliopita kwa zuluma,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…