Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Wale wote ambao wametosheka na maendeleo ndani ya majimbo yao ya kiuchaguzi wanaweza kuchagua wapiga porojo wenye ubishi mkali, wapenda sifa za maongezi, wasioweza kufanya lolote ndani ya majimbo yao. Tunashuhudia siasa za jirani zetu Kenya, ambapo malumbano yanaendelea asubuhi mpaka jioni (Citizen TV).
Nasisitiza, nchi imesonga mbele kweli kimaendeleo bila wakwazaji wa maendeleo kwa kipindi chote cha awamu ya sita. Hili limeleta umakini kwenye serikali yetu, kiasi cha kusambaza maendeleo nchini kote!
Kongole kwa Mama Samia, kazi inaonekana waziwazi, lakini wachawi hawaoni kama umefanya lolote!
Ziara njema yenye wingi wa baraka!
InshaAllah.