Wale wote ambao wanlmetosheka na maendeleo ndani ya majimbo yao ya kiuchaguzi wanaweza kuchagua wapiga porojo wenye ubishi mkali wapenda sifa za maongezi, wasioweza kufanya lolote ndani ya majimbo yao, tunashuhudia siasa za jirani zetu Kenya, wao ni malumbano asubuhi mpaka jioni (citizen tv),
Nasisitiza, Nchi imesonga mbele kweli kimaendeleo bila ya wakwazaji wa maendeleo kwa kipindi chote cha awamu ya sita, hili limeleta umakini kwenye serekali yetu, kiasi cha kutapanya maendeleo nchini kote!,
Kongole mama Samia kazi inaonekana waziwazi, lakini wachawi wote hawaoni kama umefanya lolote!
;;Ziara njema yenye wingi wa baraka!
Inshaallah.