Uchaguzi 2020 Majimbo haya yanatakiwa kwa gharama yoyote na CCM

Shime watanzania tusicheze na maisha yetu. Tuipige chini CCM kila mahala. Huyu dikteta akirudi ikulu tena tumekwisha!

Mange Kimambi aliwahi kutuonya kipindi kile kwamba atatushika pabaya. Na kweli tumeumizwa Sana.
Sasa jamani Babu Tale anaweza kuhoji na kupinga hoja kandamizi za CCM bungeni!
 
Kamandaaa
Naona umeandika hapa kujifurahisha tu. Mahera anatoka jasho hajui awasaidie kwa njia gani, wapiga kura hawataki tena ule ujinga wa zamani mnawaibia kura halafu wanakaa kimya, mwaka huu mtaisoma namba.
 
Yani kama ni mkeka basi mbowe, zito, lema, sugu nk wote waliwekewa odds 5.30 na mkeka ote umetiki 😂😂
 
Naona umeandika hapa kujifurahisha tu. Mahera anatoka jasho hajui awasaidie kwa njia gani, wapiga kura hawataki tena ule ujinga wa zamani mnawaibia kura halafu wanakaa kimya, mwaka huu mtaisoma namba.
Blaza blazaaa 😎
 
Zitto anakaribia kupindua meza huku.. ameshinda ila mkurugenzi kagoma kumtangaza hali ni tete kwa sasa Kigoma mjini
 
Umetisha mkuu
 
Zitto anakaribia kupindua meza huku.. ameshinda ila mkurugenzi kagoma kumtangaza hali ni tete kwa sasa Kigoma mjini
Hali hata sio mbaya...Kigoma ni wangapi wanatumia twitter? Ni wangapi wanaijuia VPN? Endeleeni na harakati twitter mkijua mtaani twitter ipo
 
Duh!! Asee..naona utabiri unatimia..
 
Naona umeandika hapa kujifurahisha tu. Mahera anatoka jasho hajui awasaidie kwa njia gani, wapiga kura hawataki tena ule ujinga wa zamani mnawaibia kura halafu wanakaa kimya, mwaka huu mtaisoma namba.
Nimekosea wapi hapo?
 
Jamaa zetu wa idara kazi yao imekuwa si usalama,bali ni kuhujumu chaguzi za wananchi,wajitafakari je,bado wana nafasi ya kuwepo na kutafuna kodi za wananchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…