Uchaguzi 2020 Majimbo haya yanatakiwa kwa gharama yoyote na CCM

Uchaguzi 2020 Majimbo haya yanatakiwa kwa gharama yoyote na CCM

Unaandika km kijana wa miaka 17, anayekaa kwa dadaake, anasubiri Shem aondoke ndo awashe tv!

Kwa taarifa yako huu uchaguzi c mchezo, Tena Ni do or die....watu wapo tayari kwa lolote jino kwa jino,

Kura hazitaibiwa, zitalindwa na magumashi yote yatathibitiwa kwa nguvu ya umma!!
Subiri muda utafika
Niaje kamanda
 
Naona umeandika hapa kujifurahisha tu. Mahera anatoka jasho hajui awasaidie kwa njia gani, wapiga kura hawataki tena ule ujinga wa zamani mnawaibia kura halafu wanakaa kimya, mwaka huu mtaisoma namba.
Vipi mkuu uko kitaa gani kuwasimesha namba?
[emoji881] [emoji881] [emoji881] [emoji881] [emoji881]
 
Kama ni kubet mpaka sasa mkeka wangu unapumua
Moshi mjini [emoji3581]
Mbeya mjini [emoji3581]
Hai [emoji3581]
Wahindi walitakiwa kuweka mikeka ya uchaguzi. Ungetusua mkuu!!
 
Watanzania wamewakumbusha wapinzani misingi ya Taifa hili.
 
Naona umeandika hapa kujifurahisha tu. Mahera anatoka jasho hajui awasaidie kwa njia gani, wapiga kura hawataki tena ule ujinga wa zamani mnawaibia kura halafu wanakaa kimya, mwaka huu mtaisoma namba.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji112][emoji112]
 
Mkiyaruhusu haya Watanzania mmekwisha.
Baadae waluopitishwa na ccm watalinda favor ,wamchague bwana yule tena term ya tatu na wao kwa kulinda tumbo lao ili waendelee watabadilisha katiba

This is yes,labda USA and allies wafanye very strong intervention ya moja kwa moja
 
Tunasubiri mwitikio wa majirani zetu kwanza kama watabariki ushindi wa Jiwe, pili jumuia za Afrika na jumuia ya madola pamoja na EU na UN.
 
Back
Top Bottom