Uchaguzi 2020 Majimbo haya yanatakiwa kwa gharama yoyote na CCM

1. Kawe: Namuonea huruma sana Halima Mdee (Gwajima hapendwi lakini ndio mbunge mtarajiwa)

2. Vunjo: Kimei sio mwanasiasa ila alienda pale kwa kuelekezwa tu upinzani unapitaje?

3. Moshi Mjini: Jimbo kongwe la upinzani. Mwenyewe jimbo lake kafa(Ndessamburo) upinzani unapitia wapi?

4. Hai: Mbowe ni kama kashatolewa lakini kwa sababu mpira ni dk 90 anaona bora amalize tu

5. Arusha Mjini: Maskini Lema anapambana na aliekuwa rais wa mkowa wake anajua kila kitu kuhusu Arusha.

6. Iringa Mjini: Msigwa amekuwa mwiba sana bungeni kwaio anatakiwa asirudi kwa vyovyote vile.

7. Mbeya Mjini: Sugu anapambana na Naibu Spika. Kiutawala tu bungeni nani mkubwa?

8. Tarime zote(Vijijini na Mjini) si rahisi lakini ni lazima wapinzani waachie hata kwa nguvu.

9. Kigoma mjini: ZZK ni mfame pale lakini anatakiwa mtu mpole wa kupiga makofi tu bungeni na kuimba mapambio.

Wapinzani watapita wasio jua kuongea sana na vijimbo vidogo vidogo tu.

Wekeni alama uzi huu halafu baada ya tarehe 28 mtaniambia kuwa mimi sio muongo. Mimi sina chama ila ukweli ndio huo.
Mijitu mishamba kama wewe hamfai kuwa Watanzania
 
Ila tuache utani magu ni mtu mbaya sana jana kanipigia mtu kata funua tatu za maana pale hai sijui kama leo mbowe ataamka.
 
1. Kawe: Namuonea huruma sana Halima Mdee (Gwajima hapendwi lakini ndio mbunge mtarajiwa)

2. Vunjo: Kimei sio mwanasiasa ila alienda pale kwa kuelekezwa tu upinzani unapitaje?

3. Moshi Mjini: Jimbo kongwe la upinzani. Mwenyewe jimbo lake kafa(Ndessamburo) upinzani unapitia wapi?

4. Hai: Mbowe ni kama kashatolewa lakini kwa sababu mpira ni dk 90 anaona bora amalize tu

5. Arusha Mjini: Maskini Lema anapambana na aliekuwa rais wa mkowa wake anajua kila kitu kuhusu Arusha.

6. Iringa Mjini: Msigwa amekuwa mwiba sana bungeni kwaio anatakiwa asirudi kwa vyovyote vile.

7. Mbeya Mjini: Sugu anapambana na Naibu Spika. Kiutawala tu bungeni nani mkubwa?

8. Tarime zote(Vijijini na Mjini) si rahisi lakini ni lazima wapinzani waachie hata kwa nguvu.

9. Kigoma mjini: ZZK ni mfame pale lakini anatakiwa mtu mpole wa kupiga makofi tu bungeni na kuimba mapambio.

Wapinzani watapita wasio jua kuongea sana na vijimbo vidogo vidogo tu.

Wekeni alama uzi huu halafu baada ya tarehe 28 mtaniambia kuwa mimi sio muongo. Mimi sina chama ila ukweli ndio huo.
Kuti
Propaganda za kadamshi
 
Wekeni alama uzi huu halafu baada ya tarehe 28 mtaniambia kuwa mimi sio muongo. Mimi sina chama ila u
1. Kawe: Namuonea huruma sana Halima Mdee (Gwajima hapendwi lakini ndio mbunge mtarajiwa)

2. Vunjo: Kimei sio mwanasiasa ila alienda pale kwa kuelekezwa tu upinzani unapitaje?

3. Moshi Mjini: Jimbo kongwe la upinzani. Mwenyewe jimbo lake kafa(Ndessamburo) upinzani unapitia wapi?

4. Hai: Mbowe ni kama kashatolewa lakini kwa sababu mpira ni dk 90 anaona bora amalize tu

5. Arusha Mjini: Maskini Lema anapambana na aliekuwa rais wa mkowa wake anajua kila kitu kuhusu Arusha.

6. Iringa Mjini: Msigwa amekuwa mwiba sana bungeni kwaio anatakiwa asirudi kwa vyovyote vile.

7. Mbeya Mjini: Sugu anapambana na Naibu Spika. Kiutawala tu bungeni nani mkubwa?

8. Tarime zote(Vijijini na Mjini) si rahisi lakini ni lazima wapinzani waachie hata kwa nguvu.

9. Kigoma mjini: ZZK ni mfame pale lakini anatakiwa mtu mpole wa kupiga makofi tu bungeni na kuimba mapambio.

Wapinzani watapita wasio jua kuongea sana na vijimbo vidogo vidogo tu.

Wekeni alama uzi huu halafu baada ya tarehe 28 mtaniambia kuwa mimi sio muongo. Mimi sina chama ila ukweli ndio huo.
Madaraka mabaya,Tanzania in nchi tajiri,lakini jamaa waliifisid kwa miaka 59,sasa wanamlaumu nani?,Kama mnataka kukaa madarakani ndio mfanye vitisho? Na mauaji ya ndugu zako wenyewe,siasa tu,ndiyo ikupeleke kufanya hayo,kwa Mungu utasema nini?.
 
Endeleeni kujidanganya tu, eti watu wamejaa, au watoto ndo wanajaa?
FB_IMG_1601898300044.jpg
 
Mwenyekiti tu hana uhakika na kibarua chake ndiyo itakuwa hao wengine.

Mwizi anaibia usiku yani huwezi kuiba mbele ya macho ya watu huko Arusha Lema ni kama anajua hadi mpinzani wake anachokiwaza ameanika kila mpango wa siri wa hao jamaa kuhusu wizi wa kura.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Uchaguzi wa mwaka huu CCM hawakutegemea Kama utakuwa hivi.Ni mgumu kuliko chaguzi zote zilizowahi kutokea
 
kwa kampeni ya nguvu aliyo kufanya Magufuli naamini zaidi ya majimbo hayo yatakuwa mikononi mwa CCM
 
Back
Top Bottom