Mjuajiwa karne
Member
- Oct 4, 2020
- 50
- 35
Lakini kwa hali ilivyo kisu kipo shingoni.Kama Mungu muumba wa mbingu na nchi aishivyo anayepanga udhalimu huu hiyo tarehe 28 October hataiona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini kwa hali ilivyo kisu kipo shingoni.Kama Mungu muumba wa mbingu na nchi aishivyo anayepanga udhalimu huu hiyo tarehe 28 October hataiona
Kwa kura hewa labda ila sio kwa ridhaa ya WatanzaniaHayo majimbo yamechezewa na upinzani kwa muda mrefu, Wananchi hatuwataki tena Chadema
Tutawachagua Ccm
Kwa kura hewa labda ila sio kwa ridhaa ya Watanzania
Unamuaibisha Hayati MkapaOctober tutawafundisha adabu kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Rafiki yangu hujambo
Hayo majimbo yamechezewa na upinzani kwa muda mrefu, Wananchi hatuwataki tena Chadema
Tutawachagua Ccm
Na wakitakaa vurugu nchi mzima wafany huu ujinga1. Kawe: Namuonea huruma sana Halima Mdee (Gwajima hapendwi lakini ndio mbunge mtarajiwa)
2. Vunjo: Kimei sio mwanasiasa ila alienda pale kwa kuelekezwa tu upinzani unapitaje?
3. Moshi Mjini: Jimbo kongwe la upinzani. Mwenyewe jimbo lake kafa(Ndessamburo) upinzani unapitia wapi?
4. Hai: Mbowe ni kama kashatolewa lakini kwa sababu mpira ni dk 90 anaona bora amalize tu
5. Arusha Mjini: Maskini Lema anapambana na aliekuwa rais wa mkowa wake anajua kila kitu kuhusu Arusha.
6. Iringa Mjini: Msigwa amekuwa mwiba sana bungeni kwaio anatakiwa asirudi kwa vyovyote vile.
7. Mbeya Mjini: Sugu anapambana na Naibu Spika. Kiutawala tu bungeni nani mkubwa?
8. Tarime zote(Vijijini na Mjini) si rahisi lakini ni lazima wapinzani waachie hata kwa nguvu.
9. Kigoma mjini: ZZK ni mfame pale lakini anatakiwa mtu mpole wa kupiga makofi tu bungeni na kuimba mapambio.
Wapinzani watapita wasio jua kuongea sana na vijimbo vidogo vidogo tu.
Wekeni alama uzi huu halafu baada ya tarehe 28 mtaniambia kuwa mimi sio muongo. Mimi sina chama ila ukweli ndio huo.
Na anarudi fasta.Shime watanzania tusicheze na maisha yetu. Tuipige chini CCM kila mahala. Huyu dikteta akirudi ikulu tena tumekwisha!
Mange Kimambi aliwahi kutuonya kipindi kile kwamba atatushika pabaya. Na kweli tumeumizwa Sana.
Utabiri wako kuntu kabisa.1. Kawe: Namuonea huruma sana Halima Mdee (Gwajima hapendwi lakini ndio mbunge mtarajiwa)
2. Vunjo: Kimei sio mwanasiasa ila alienda pale kwa kuelekezwa tu upinzani unapitaje?
3. Moshi Mjini: Jimbo kongwe la upinzani. Mwenyewe jimbo lake kafa(Ndessamburo) upinzani unapitia wapi?
4. Hai: Mbowe ni kama kashatolewa lakini kwa sababu mpira ni dk 90 anaona bora amalize tu
5. Arusha Mjini: Maskini Lema anapambana na aliekuwa rais wa mkowa wake anajua kila kitu kuhusu Arusha.
6. Iringa Mjini: Msigwa amekuwa mwiba sana bungeni kwaio anatakiwa asirudi kwa vyovyote vile.
7. Mbeya Mjini: Sugu anapambana na Naibu Spika. Kiutawala tu bungeni nani mkubwa?
8. Tarime zote(Vijijini na Mjini) si rahisi lakini ni lazima wapinzani waachie hata kwa nguvu.
9. Kigoma mjini: ZZK ni mfame pale lakini anatakiwa mtu mpole wa kupiga makofi tu bungeni na kuimba mapambio.
Wapinzani watapita wasio jua kuongea sana na vijimbo vidogo vidogo tu.
Wekeni alama uzi huu halafu baada ya tarehe 28 mtaniambia kuwa mimi sio muongo. Mimi sina chama ila ukweli ndio huo.
Mkiyaruhusu haya Watanzania mmekwisha.
Nikuunga mkono 100%Amani nchini inaweza kutoweka kutoka kwenye moja ya hayo majimbo uliyoyaorodhesha iwapo haki haitatendeka!!!
Si kweli bro umedanganya
Haswa
Iringa
Mbeya
Arusha
na
Kigoma
Mavyuma wenu ameukubali mziki wa JPM1. Kawe: Namuonea huruma sana Halima Mdee (Gwajima hapendwi lakini ndio mbunge mtarajiwa)
2. Vunjo: Kimei sio mwanasiasa ila alienda pale kwa kuelekezwa tu upinzani unapitaje?
3. Moshi Mjini: Jimbo kongwe la upinzani. Mwenyewe jimbo lake kafa(Ndessamburo) upinzani unapitia wapi?
4. Hai: Mbowe ni kama kashatolewa lakini kwa sababu mpira ni dk 90 anaona bora amalize tu
5. Arusha Mjini: Maskini Lema anapambana na aliekuwa rais wa mkowa wake anajua kila kitu kuhusu Arusha.
6. Iringa Mjini: Msigwa amekuwa mwiba sana bungeni kwaio anatakiwa asirudi kwa vyovyote vile.
7. Mbeya Mjini: Sugu anapambana na Naibu Spika. Kiutawala tu bungeni nani mkubwa?
8. Tarime zote(Vijijini na Mjini) si rahisi lakini ni lazima wapinzani waachie hata kwa nguvu.
9. Kigoma mjini: ZZK ni mfame pale lakini anatakiwa mtu mpole wa kupiga makofi tu bungeni na kuimba mapambio.
Wapinzani watapita wasio jua kuongea sana na vijimbo vidogo vidogo tu.
Wekeni alama uzi huu halafu baada ya tarehe 28 mtaniambia kuwa mimi sio muongo. Mimi sina chama ila ukweli ndio huo.
Prof jize atapita
1. Kawe: Namuonea huruma sana Halima Mdee (Gwajima hapendwi lakini ndio mbunge mtarajiwa)
2. Vunjo: Kimei sio mwanasiasa ila alienda pale kwa kuelekezwa tu upinzani unapitaje?
3. Moshi Mjini: Jimbo kongwe la upinzani. Mwenyewe jimbo lake kafa(Ndessamburo) upinzani unapitia wapi?
4. Hai: Mbowe ni kama kashatolewa lakini kwa sababu mpira ni dk 90 anaona bora amalize tu
5. Arusha Mjini: Maskini Lema anapambana na aliekuwa rais wa mkowa wake anajua kila kitu kuhusu Arusha.
6. Iringa Mjini: Msigwa amekuwa mwiba sana bungeni kwaio anatakiwa asirudi kwa vyovyote vile.
7. Mbeya Mjini: Sugu anapambana na Naibu Spika. Kiutawala tu bungeni nani mkubwa?
8. Tarime zote(Vijijini na Mjini) si rahisi lakini ni lazima wapinzani waachie hata kwa nguvu.
9. Kigoma mjini: ZZK ni mfame pale lakini anatakiwa mtu mpole wa kupiga makofi tu bungeni na kuimba mapambio.
Wapinzani watapita wasio jua kuongea sana na vijimbo vidogo vidogo tu.
Wekeni alama uzi huu halafu baada ya tarehe 28 mtaniambia kuwa mimi sio muongo. Mimi sina chama ila ukweli ndio huo.
Hayo majimbo yamechezewa na upinzani kwa muda mrefu, Wananchi hatuwataki tena Chadema
Tutawachagua CCM
Nchi italipuka kwa furaha. Ee Mungu tusaidie tuokote mateka ya kura za kijani. Ngome zimeanguka, ni mwendo wa kuvuna tu. Wote kwa umoja wetu, watanzania wazalendo tukafanye lile jambo letu asubuhi na mapema.1. Kawe: Namuonea huruma sana Halima Mdee (Gwajima hapendwi lakini ndio mbunge mtarajiwa)