Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Bado mtaendelea kujificha uvunguni tu na kujifanya jasiri mtandaoni. Hamna cha Lissu wala nini.Sasa Mungu ametupa Tundu Lissu ambae hasemi tu, anaongoza harakati na kwenda frontline huku sisi tukiwa nyuma yake. Ccm mtaita Maji Mmaaa mwaka huu