Tetesi: Majimbo karibu yote Kanda ya Ziwa kuchagua wabunge wa upinzani

Hatumtaki samia
Sera zake ziwewasaidia nini Watanzania? Umeme umepungua bei, maji, huduma za afya unapata, bei ya vifaa vya ujenzi ikoje, chakula, nauli.

Unaonaje Sera ya kuuza Bandari, misitu, Ngorongoro, Kula kwa urefu wa kamba yako, kulibebesha taifa mikopo, na kutumbua fedha za mikopo Unazipenda.

Sera ya kutumbua viongozi wote wazuri kama Jerry Slaa unaziona zina faida kwa hili Taifa?
 
We jingalao kwl. Uliteta na nani. Halafu huu upumbavu ws kanda ya ziwa uacheni, mbn washamba hivyo? Nchi yetu haijagawanywa kwenye ukanda wowote.
 
Sio Kanda ya Ziwa peke yake ni karibu nchi nzima mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Tbora, Kigoma, Songwe, Tanga, Dar es Salam, Morogoro, Iringa, Lindi na Ntwara kote huko wanarudi upinzani
Ndio maana mnaitwa zero brain aka nyumbu
 
Hapo ni kuzidi kuitia kiwewe CCM! Safari hii wataiba kura zote!
Bora mngekaa kimya tu.
 
Mama hakubaliki hata ndani ya dini yake
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa vichekesho kama hivi, endelea kufuatilia post za mwandishi huyu.
Wajinga ndio waliwao,katunga insha za darasa la sita,very pathetic.Kwanini hakujiongeza kwa kutumia Artificial Intelligence?Huko kwa hadithi za Esopo tumeishapita.
 
Naweza nikaapia hizo tetesi umepewa na bibi yako na sio wakazi wa Kanda ya Ziwa.
kazi ya wananchi ni kupiga kura

kazi ya karahani ni kuhesabu kura

kazi ya jaji ni kutangaza mshindi wa kura.
 
Sio Kanda ya Ziwa peke yake ni karibu nchi nzima mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Tbora, Kigoma, Songwe, Tanga, Dar es Salam, Morogoro, Iringa, Lindi na Ntwara kote huko wanarudi upinzani
Kumeanza kuchangamka sasa, safari hii , ccm watavaa brauzi sana
 
 
Ni kweli huku Kanda ya Ziwa tumejipanga kuiadhibu CCM kwa kukumbatia mafisadi na pia kitendo cha kumpitisha Samia kinyemela kuwa mgombea wa Urais kimetuudhi sana huyo mama tuna jambo naye na tutalionyesha October
 
Nasikia CHADEMA inakuja na wagombea wanaokubalika sana kwenye majimbo wakiwemo Maprofesa mnakumbuka enzi za Profesa Kulikoyela Kahigi Jimbo la Bukombe? msimu huu wanakuja na wagombea Mawakili, Watumishi wa Mungu mnakumbuka enzi za Mchungaji Israel Natse Jimbo la Karatu, Mchungaji Msigwa Jimbo la Iringa, Mawakili mnakumbuka enzi za Tundu Lissu Jimbo la Singida Mashariki, ndiyo safu mpya itakayopangwa majimboni wakati ccm wao wakiendelea na mipango ya kununua wajumbe na kamati za siasa za wilaya na mikoa ili kupitisha majina yao...mkifika kwa wananchi mnaaangukia pua...
 
Kweli Kanda ya Ziwa bado wana kilio kikubwa cha Mawaziri wao kutupwa kwenye Serikali ya sasa wanalia hakuna mwakilishi anapeleka shida zao baraza la mawaziri wanakumbuka walivyotumbuliwa Angelina Mabula (Ardhi), Mashimba Ndaki (Mifugo), Medard Kalemani (Nishati), Mary Masanja (Maliasili), Byabato (Mambo ya NJe) Waitara (Tamisemi) , mpaka sasa wanalia Kanda zima ya ziwa pamoja na ukumbwa wake na mikoa yake 6 mikubwa imebaki na mawaziri kamili 2 tu ambao ni Biteko na Bashungwa tu, huku mkoa wa Pwani ukiwa na mawaziri karibu kila jimbo Kuna Ridhiwani (Chalinze), Jafo ( Kisarawe), ULEGA (Mkuranga), Kipanga (Mafia), Mchengerwa (Rufiji) haya ni miongoni mwa mambo yanayolalamikiwa sana na wananchi wa chini.
 

Chadema na Lissu inabidi wajikite kwenye mambo yanayowahusu na kuwaumiza Watanzania moja kwa moja leo.

Vitu kama Ufisadi, rushwa, matatizo ya mahi, umeme, tozo, huduma za afya, elimu, barabara, tozo, kodi, kuuzwa bandari, misitu, Ngorongoro nk.

Apunguze kuwashambulia Nyerere, JPM ataungwa mkono na wananchi wengi na wana- CCM wasiokubaliana na yanayoendelea leo. Haongezi kura yoyote kwa haya mashambulizi kwa hao watu.

Inabidi atengeze winning coalition kama Ruto, Nyusi au Chakwera kama yupo serious kuchukua nchi.
 
Kanda ya Ziwa mama hakubaliki - ile kanda ina misingi yake ya utawala kwa mwanamke ni ngumu mno kutoboa hii ni kuanzia kwenye kaya.. ni jadi yao.
CCM watapata taabu sana kule.
mbona wanasema amejenga madarasa mengi sana
 
 

Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…