GE2025 Majimbo mawili ambayo washindi wapili ni uhakika watarudi kuwa ndio wapeperusha bendera ya ccm

GE2025 Majimbo mawili ambayo washindi wapili ni uhakika watarudi kuwa ndio wapeperusha bendera ya ccm

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

deecharity

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
936
Reaction score
515
Jimbo la iringa mjini mshindi ni Fadhili Ngajiro kwa kura 1899 na wa pili ni Moses Ambindwile kwa kura 1523. ANACHUKULIWA MOSES, fadhili kagombea zaidi ya mara mbili akakosa, leo kaongoza lakini anaemfuata ni mgeni kabisa chamani na siasa za Iringa mjini lakini amemkaribia mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi bwana Ngajilo kwa kura hizo, si rahis jina la Ngajilo kurudi, ukweli mchungu.

jimbo la kigoma mjini aliekua mbunge kamzidi baba levo kura 88 tu. Baba levo kahamia ccm na ni mgeni lakini wote wamepata kura zaid ya 2000 na kutofautiana kura 88 tu. Aliekua mbunge jina kurudi ni ndoto.

Tusubiri maamuzi.
 
Duuh kwani Jesca imekuaje tena amewakosea nini wahehe hapo,
 
Kwa baba levo watu wake wa karibu wamshauri atulie kipndi hiki.jina lake linauwezo mkubwa kurudi
 
Kwa baba levo watu wake wa karibu wamshauri atulie kipndi hiki.jina lake linauwezo mkubwa kurudi
Linardije jina wakati kashindwa kura za maoni? Kura za maoni Zina nguvu sana ili kubatilisha mshidi ni lazima kuwe na rafu zilizothibitishwa
 
Nyie acheni ujinga! Mtu kama amashinda kihalali hata kwa kura moja ni mshindi na jina lake linapaswa kurudi!!
Stephen Masele aliwahi kutangazwa kushinda UBUNGE kule Shinyanga kwa kumshinda mgombea wa CHADEMA kwa kura moja tu.
 
IMG-20250804-WA0122.jpg
 
Mpk kuwe na uthibitisho
Haujaona video?Kura zimewekewa vema huyo mshindi wa kwanza.Kwa jinzi alivyoboronda Kigoma no how angeshinda kihalali. Yaani uchaguzi ukiwa wa haki basi Zitto atashinda kwa kishindo hili jimbo,mtu pekee wa kumchallenge Zitto ni Baba Levo.
 
Mkuu HAPO kwa baba levo Hawa ccm wajitafakari SANA HUYO pekee NDO ataweza simama na zito



Kwishaaa
 
Haujaona video?Kura zimewekewa vema huyo mshindi wa kwanza.Kwa jinzi alivyoboronda Kigoma no how angeshinda kihalali.
Tulioko Kigoma tunafahamu ya kwamba baba levo ndiyo kaandaa hiyo drama ya kura feki. Ndiyo maana kamati ya maadili ya chama, imepuuzilia mbali na kutangaza matokeo
 
Linardije jina wakati kashindwa kura za maoni? Kura za maoni Zina nguvu sana ili kubatilisha mshidi ni lazima kuwe na rafu zilizothibitishwa
Wanaangalia na mtu anaekubalika au kuuzika kwa wananchi
 
Km baba levo hatarudishwa sasa ntaamini yale meneno ya zito kushiriki uchaguzi na chama chake ili ahongwe jimbo la kgm mjini
 
Jimbo la iringa mjini mshindi ni Fadhili Ngajiro kwa kura 1899 na wa pili ni Moses Ambindwile kwa kura 1523. ANACHUKULIWA MOSES, fadhili kagombea zaidi ya mara mbili akakosa, leo kaongoza lakini anaemfuata ni mgeni kabisa chamani na siasa za Iringa mjini lakini amemkaribia mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi bwana Ngajilo kwa kura hizo, si rahis jina la Ngajilo kurudi, ukweli mchungu.

jimbo la kigoma mjini aliekua mbunge kamzidi baba levo kura 88 tu. Baba levo kahamia ccm na ni mgeni lakini wote wamepata kura zaid ya 2000 na kutofautiana kura 88 tu. Aliekua mbunge jina kurudi ni ndoto.

Tusubiri maamuzi.
Naunga mkono kwa Clayton Chipando, ana kitu hata wapibzani wake atawashinda asubuhi mno👏
 
Back
Top Bottom