deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 936
- 515
Linardije jina wakati kashindwa kura za maoni? Kura za maoni Zina nguvu sana ili kubatilisha mshidi ni lazima kuwe na rafu zilizothibitishwaKwa baba levo watu wake wa karibu wamshauri atulie kipndi hiki.jina lake linauwezo mkubwa kurudi
Hata ukishinda kura za maoni still kamati kuu ndo msemaji wa mwisho.Kuna vitu kama rushwa n.kLinardije jina wakati kashindwa kura za maoni?
Mpk kuwe na uthibitishokuu ndo msemaji wa mwisho.Kuna vitu kama rushwa n.k
Kwa baba levo watu wake wa karibu wamshauri atulie kipndi hiki.jina lake linauwezo mkubwa kurudi
Haujaona video?Kura zimewekewa vema huyo mshindi wa kwanza.Kwa jinzi alivyoboronda Kigoma no how angeshinda kihalali. Yaani uchaguzi ukiwa wa haki basi Zitto atashinda kwa kishindo hili jimbo,mtu pekee wa kumchallenge Zitto ni Baba Levo.Mpk kuwe na uthibitisho
Tulioko Kigoma tunafahamu ya kwamba baba levo ndiyo kaandaa hiyo drama ya kura feki. Ndiyo maana kamati ya maadili ya chama, imepuuzilia mbali na kutangaza matokeoHaujaona video?Kura zimewekewa vema huyo mshindi wa kwanza.Kwa jinzi alivyoboronda Kigoma no how angeshinda kihalali.
Wanaangalia na mtu anaekubalika au kuuzika kwa wananchiLinardije jina wakati kashindwa kura za maoni? Kura za maoni Zina nguvu sana ili kubatilisha mshidi ni lazima kuwe na rafu zilizothibitishwa
Naunga mkono kwa Clayton Chipando, ana kitu hata wapibzani wake atawashinda asubuhi mno👏Jimbo la iringa mjini mshindi ni Fadhili Ngajiro kwa kura 1899 na wa pili ni Moses Ambindwile kwa kura 1523. ANACHUKULIWA MOSES, fadhili kagombea zaidi ya mara mbili akakosa, leo kaongoza lakini anaemfuata ni mgeni kabisa chamani na siasa za Iringa mjini lakini amemkaribia mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi bwana Ngajilo kwa kura hizo, si rahis jina la Ngajilo kurudi, ukweli mchungu.
jimbo la kigoma mjini aliekua mbunge kamzidi baba levo kura 88 tu. Baba levo kahamia ccm na ni mgeni lakini wote wamepata kura zaid ya 2000 na kutofautiana kura 88 tu. Aliekua mbunge jina kurudi ni ndoto.
Tusubiri maamuzi.