Kazi kubwa kwa wabunge wetu wote ni kuutetea utanzania. Kama wakienda na ajenda nyingine wasubiri suprise kubwa 2015. Watu wanaamka tena kwa fasta fasta kuliko wanasiasa wanavyofikiri. Before too late hakuta kuwa na uchakachauji tena maana watu watasema hapana kwa maisha yao, no matter what.