Elections 2010 Majimbo yaliyokwishajulikana na wabunge Wake

Elections 2010 Majimbo yaliyokwishajulikana na wabunge Wake

Hii ni summary Nzuri sana,
hakuana more recent news:nono:
 
Kazi kubwa kwa wabunge wetu wote ni kuutetea utanzania. Kama wakienda na ajenda nyingine wasubiri suprise kubwa 2015. Watu wanaamka tena kwa fasta fasta kuliko wanasiasa wanavyofikiri. Before too late hakuta kuwa na uchakachauji tena maana watu watasema hapana kwa maisha yao, no matter what.
 
Matokeo rasmi ndiyo habari....sio hisia binafsi......!
 
Back
Top Bottom