MAJINA 12,867 ya wale ambao hawakuchakuchaguliwa na TCU raundi ya kwanza

MTEMISHIJA

Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
21
Reaction score
0
Kama profile yako inasomeka hivi PROCESSED SUCCESSFULLY.YOU HAVE BEEN SELECTED pale chini kabisa ya my selection status, haumo kwenye orodha hii. TUKAZE MWENDO.
 
kichwa chako kimejaa maji sasa hayo mambo ya majina ya waliokosa first round yana ushirikiano gani na selection za tcu wakat wameshafanya sec round.

Au ndo hyo link unaipata leo, duhh... kazi ipo humu.
 
Na wengine tayari wameishachaguliwa vyuoni kaka ambao ni second round we subiri kesho majina yote yanatolewa
 
Inaelekea jamaa ndio anaiona leo, na kuna uwezekano hata hakufanya application for the second round!
 
Wewe ni mfungwa au mbn hiz taarifa zimetoka zamani sana

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mshenzi tuu kakurupuka huyu jamaa. Isomeni vizuri hiyo thread mtaona alivyo kicheche
 
Majina ndo umeyaona leo?
sasa kama ya waliochaguliwa mnayaliliaaaaaaaaa na hayatoki!!!! tuwape nini sasa, chukueni hayooooo, kama hamyataki printini mkafungie maandazi na vitumbua, yakija mnayoyataka printini mkatunze kwenye mabegi.

Hihihihhhiiiiiii..
 
Mshenzi tuu kakurupuka huyu jamaa. Isomeni vizuri hiyo thread mtaona alivyo kicheche
sasa kama ya waliochaguliwa mnayaliliaaaaaaaaa.... na hayatoki!!!! tuwape nini sasa, chukueni hayooooo...kama hamyataki printini mkafungie maandazi na vitumbua, yakija mnayoyataka printini mkatunze kwenye mabegi. hihihihhhiiiiiiiiiiiiiiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Wewe ni mfungwa au mbn hiz taarifa zimetoka zamani sana

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
sasa kama ya waliochaguliwa mnayaliliaaaaaaaaa.... na hayatoki!!!! tuwape nini sasa, chukueni hayooooo...kama hamyataki printini mkafungie maandazi na vitumbua, yakija mnayoyataka printini mkatunze kwenye mabegi. hihihihhhiiiiiiiiiiiiiiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
kichwa chako kimejaa maji sasa hayo mambo ya majina ya waliokosa first round yana ushirikiano gani na selection za tcu wakat wameshafanya sec round.
au ndo hyo link unaipata leo.
duhh... kazi ipo humu.
sasa kama ya waliochaguliwa mnayaliliaaaaaaaaa.... na hayatoki!!!! tuwape nini sasa, chukueni hayooooo...kama hamyataki printini mkafungie maandazi na vitumbua, yakija mnayoyataka printini mkatunze kwenye mabegi. hihihihhhiiiiiiiiiiiiiiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Walivyo toa hayo majina kwenye profile lako inakuwa inaonyesha au ndio hvyo inaandika stay calm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…