MTEMISHIJA
Member
- Feb 11, 2014
- 21
- 0
Kama profile yako inasomeka hivi PROCESSED SUCCESSFULLY.YOU HAVE BEEN SELECTED pale chini kabisa ya my selection status, haumo kwenye orodha hii. TUKAZE MWENDO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kama ya waliochaguliwa mnayaliliaaaaaaaaa na hayatoki!!!! tuwape nini sasa, chukueni hayooooo, kama hamyataki printini mkafungie maandazi na vitumbua, yakija mnayoyataka printini mkatunze kwenye mabegi.Majina ndo umeyaona leo?
sasa kama ya waliochaguliwa mnayaliliaaaaaaaaa.... na hayatoki!!!! tuwape nini sasa, chukueni hayooooo...kama hamyataki printini mkafungie maandazi na vitumbua, yakija mnayoyataka printini mkatunze kwenye mabegi. hihihihhhiiiiiiiiiiiiiiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,Mshenzi tuu kakurupuka huyu jamaa. Isomeni vizuri hiyo thread mtaona alivyo kicheche
sasa kama ya waliochaguliwa mnayaliliaaaaaaaaa.... na hayatoki!!!! tuwape nini sasa, chukueni hayooooo...kama hamyataki printini mkafungie maandazi na vitumbua, yakija mnayoyataka printini mkatunze kwenye mabegi. hihihihhhiiiiiiiiiiiiiiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,Wewe ni mfungwa au mbn hiz taarifa zimetoka zamani sana
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
sasa kama ya waliochaguliwa mnayaliliaaaaaaaaa.... na hayatoki!!!! tuwape nini sasa, chukueni hayooooo...kama hamyataki printini mkafungie maandazi na vitumbua, yakija mnayoyataka printini mkatunze kwenye mabegi. hihihihhhiiiiiiiiiiiiiiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,kichwa chako kimejaa maji sasa hayo mambo ya majina ya waliokosa first round yana ushirikiano gani na selection za tcu wakat wameshafanya sec round.
au ndo hyo link unaipata leo.
duhh... kazi ipo humu.