Majina 19 yanayotajwa kuwarithi Halima Mdee na wenzake bungeni

Wakimuacha yule Hilda Newton watakuwa na matatizo yule mdada kipindi cha dikteta alisimama imara sn
 
Huyu Joyce Mukya sijawahi kumuona katika ujenzi wa Chama ila miaka yote anapeta tu, labda kwasababu anampa furaha mwenyekiti wetu basi acha tu aulambe
We jamaa una majungu! Punguza basi mkuu maana kuacha huwezi.



YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Chadema wakikubali kupeleka wengine bungeni maana yake watakuwa wanahalalisha ule uharamia uliofanyika 2020, haya majina mnayookoteza huko kwangu naona ni usanii mtupu, sasa waamue wao.

Kama wapo tayari kudanganyika mwishowe waendelee kuchezewa akili na serikali ya CCM kwenye kila uchaguzi, au wabaki na msimamo wao wa kutoutambua ule uchaguzi hata kama itawagharimu kuikosa ruzuku.
 
Yule shujaa binti wa Muheza hayumo?
 
Wapya kama asilimia 43 wachg😂😂
 
Anaweza kupaza sauti bila woga wa Magufuli kitu ambacho wewe na yule hawana, even me so to say!
 
Vyovyote vile mkuu kwani unafikiri tuliowachagua 2020 ndio wanatuongoza Leo.....kaa kwa kutulia maisha yaendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…