Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

Status
Not open for further replies.

Mkuu

Tayari wametoa majina yote!

Nimepangwa CHUO CHA UALIMU.

Pita hapa kaka
,Ajira Mpya | PMORALG Tanzania
 
kila la kheri walimu wote nendeni mkapige chaki!
 
UNLOCK, watu wanalist mikononi na list ya majina unayotaka itoke kupitia website ya WIZARA YA ELIMU ndio hii hii, ukiona jina lako halimo tambua kuwa huna ajira ndugu yangu,hiyo itakuwa imekula kwako

mkuu ya kweli hayo? mbona presha aisee?
 
sijui nitafutie mke kabisa humu? lol!

wapo wale wa tarime na musoma jamani?
 
aksante mkuu! but sina p.c. NAOMBA UMUANGALIE HUYU-TUMAINI B. CHAULA-STASHAHADA-NITUPIE 0765432283,au nishtue nikupgie!
 
Kama unajua ulishawahi kuajiriwa serikalini ukaacha usiende kuripoti kwani mshahara hautatoka.
 
jaman hayo majina ni rasmi kutoka tamisemi au ni yaleyale yaliyovuja? mbona mi siyaoni kwenye website ya tamisemi?
 
Hiyo ni kweli tupu. Sasa hivi mambo sio kama zamani mtu hawezi kuajiriwa na kuacha anavyotaka
 
Hiyo ni kweli tupu. Sasa hivi mambo sio kama zamani mtu hawezi kuajiriwa na kuacha anavyotaka

hiyo mitambo imeanza fanya kazi lini.watu mbona wanaajiliiwa mara mbili.na hela wanachukua kote
 
Kuna watu nataka mniangalizie majina yao,hawa katechno kanzngua hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…