Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

Status
Not open for further replies.
15902 SINGOFU M. ROBERT M S. L. P.
359,SENGEREMA
KINAMPANDA MARA MUSOMA (V)

in short umepangwa musoma vijijini

mkuu naomba nichekie dada yangu anaitwa DOMITILA BOSCO KOMBA ngazi ya shahada(degree) nijue kapangwa wapi
 
Miye natafuta wa ntwara nimechoka kukaa dar! Aagh!
 
haya kaka nshafuta!

Mtwara tena hivi wajua shida maji ilivyo huko vijijini, nilishafika kijiji kimoja chiungutwa kwa tafiti za research ya matumizi bora ya ardhi basi yaani maji ni shida wanachota kwenye vidimbwi baada ya mvua kunyesha

Wazo zuri sio kukaa mjini tu na vijijini tukaishi pia, wasalimie
 
mkuu naomba nichekie dada yangu anaitwa DOMITILA BOSCO KOMBA ngazi ya shahada(degree) nijue kapangwa wapi
2569
DOMITILA BOSCO KOMBA
F
P.O.BOX 11811, ARUSHA
MMU
BED
HISTORY
PWANI
MKURANGA

Kapangwa Mukuranga
 

hahahaha! Dah naskia hukovumbi tu!
 
hahahaha! Dah naskia hukovumbi tu!

Watoto ni watoro madarasani kwa takwimu nilizonazo inabidi mwl uwe na mafunzo ya jeshi hivi ili usije ukatumia hasira badala ya mbinu shirikishi kuwarudisha darasani wakitoroka, vip upo primary au secondary level
 
hatuwataki siye tunaowana wenyewe kwa wenyewe!haya shoti kuli geuzaaa.....

hahahaaa!! munkari vipi tena??

mi natafuta nyumba kubwa mbili kutoka serengeti! lolz! majina tayari nnayo kulaleki...!

chezea fursa weye!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…