Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

Status
Not open for further replies.
Nawatakia Ajira na uwajibikaji katika kuelimisha na kutoa taaluma kwa vijana mkiwa darasanimsiishie tu kuchat Fb, whatsapp, viber, wakati vipindi vinaendelea darasani. Pia msianzishe miradi ya ubuyu na karanga kwa kuwatumia wanafunzi kuuza bidhaa hizo, wapeni elimu iliyo bora.
 
Naomba msaada kwa majina haya RAMADHANI .S. MCHOROPA na FURAHA DITRICK PINGA (shule ya msingi)
 
Huo mkokoteni usiutembeze nchi yetu TZ, sio busara kumkashifu hivo Mwalimu, ikiwa wewe ndo una mtizamo huo basi kaa nao kimya usiudhihirishe kwa umma. Nadhani una familia utawasomesha wapi? Watafundishwa na roboti??? Try to be a greater thinker, uzi huu ni wa kupeana ari na taarifa, sio kashifaa hivo.

mkuu labda utakuwa umenielewa vbaya au nmetoa kauli vbaya ndio maana umenielewa vbaya. Sina lengo la kumkashifu mwalimu bali naonesha masikitiko yangu jinsi ambavyo serikali hii ilivyo dhalim na jinsi ambavyo haimthamin mwalimu.
 
Naomba msaada kwa majina haya RAMADHANI .S. MCHOROPA na FURAHA DITRICK PINGA (shule ya msingi)

Mchoropa ni mwanza halmshauri ya sengerema na Pinga ni mwanza halmashauri ya Kwimba
 
Anayetaka tubadilishane vituo Idara ya sekondari aje TABORA URAMBO,awe anatoka IRINGA,MOROGORO,MBEYA,PWANI.Tuwasiliane 0652583409 au 0769848539
 
jaman mbona wale waliomaliza mwaka 2012 na kufanya suplimentary 2013 wakafaulu na kuomba upya wengi hawajachaguliwa na tatizo kubwa limetokea katika chuo cha ualimu butimba! ni kwann au kuna tatizo gani hapo?
 
Nafasi ya kubadilishana ipo hapa kwenu walimu wapya. Kama umepangiwa wilaya mpya ya Mkalama-Singida na unataka kuhamia wilaya kongwe na nzuri zaidi ya Iramba-Singida piga namba hii 0769581662 au 0782850113.
 
Njoo Halmashauri ya NJOMBE MJI mm nije RUNGWE au BUSOKELO (idara ya msingi) 0764623738 au 0715598343
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom