asante Mkuu
heri nisukume mkokoten kuliko kuwa mwalimu Tanzania...... Hii serikali haina maana kabisa. Kama mawazir wenyew mizigo wamefoji vyeti hawajui chochote watakuwa na fikra za kujali kaz mama kama ya ualimu...... Naona aibu kuitwa mtanzania
Pamoja,,,,!!!
mkuu mbona mtu kaniambia kinyume na wewe ebu rudia kuangalia Mina M Elkana Diploma
Miye natafuta wa ntwara nimechoka kukaa dar! Aagh!
Mh Huku moyoni umefurahia kupata dar
Kumbe kuna walimu wengi humu wengine hata sikuwazania, anyway mkatufundishie watoto wetu vizuri div 5 hatuzitaki. Kila la kheri.
Naomba kuangaliziwa jina ABRAHAM MHAMI mwl shule za msingi(cheti) kacm kangu hakafungui pdf
Msaada wa kuangaliziwa MUSA MAFURU,idara ya Msingi (CHETI) Mukidoma TTC
Wakuu niangalizie hili jina anaenda wapi nianze kusaka nauli yake.
SIGRACE MWANGOSI ni certificate.
ahsanteni.
Paulo maduhu
chuo cha ualimu lake
cheti.
Umepangwa mkoa wa Lindi, halmshauri ya Liwale
Msaada kisimu changu hakifungui,Paulo M. Tungaraza SHAHADA.