Huo mkokoteni usiutembeze nchi yetu TZ, sio busara kumkashifu hivo Mwalimu, ikiwa wewe ndo una mtizamo huo basi kaa nao kimya usiudhihirishe kwa umma. Nadhani una familia utawasomesha wapi? Watafundishwa na roboti??? Try to be a greater thinker, uzi huu ni wa kupeana ari na taarifa, sio kashifaa hivo.
Naomba msaada kwa majina haya RAMADHANI .S. MCHOROPA na FURAHA DITRICK PINGA (shule ya msingi)
Kuna watu mna shahada za ubishi...Mbona kwenye website ya moe hayapo bana achen kuzingua watu..
Walimu wangeziria kazi leo ungeweza hata kuandika hapa?Hivi na kelele zote za waalimu bado kuna watu wanatamani kua waalimu..?