Majina Anayotumia "Mama" Yanaleta Ukakasi, Jee Kunalililo Fichika?

Mkongwe Mzoefu

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2018
Posts
861
Reaction score
2,515
Nakumbuka alianzisha utaratibu kwa kusema ukimvaa basi Chawa wake watakuvaa. Hivyo anao hao chawa yaani viumbe wachafu.
Majuzi kasema yeye ni "Chura kiziwi" hivyo hasikii kelele za nje.
Sasa kazi kwenu, maandiko katika
Ufunuo wa Yohana 16:13 " Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka, na katika kinywa cha yule mnyama, na katika kinywa cha yule nabii wa uongo.."
Kwa nini anapenda kujilinganisha na vitu vichafu? Tena kwa kauli zinazolinganishwa na "yule joka na nabii wa uongo?
Jee huu ni ufunuo au kuna siri gani ndani yake? Wajuzi watueleze
 
Ule mfano wa chura ulikua wa kawaida sana sema tu vile tunavyo chukulia kauli za viongozi wetu na kuzihuisha.
Angeweza kutumia mfano wa mbuzi kondoo au sungura ila alimua kutumia chura kulingana na mapokeo ya hio hadithi ya chura .

Ile ya chawa alikua ana tembea na trend,kipindi kile wanaoitwa chawa ambao ni wafuasi na wapambe wa mtu fulani walikua wanavuma na yeye akatembea na huo mvumo.

Kinachotakiwa kama kiongozi mkubwa namna hio awe anaandaa kwanza mawasilisho yake siku moja kabla ya kuwasilisha kwa uma,ikiwezekana wawepo watu wa kupitia na kuekebisha , maana likisha wasilishwa neno katika jamii huwa linanyumbuliwa na kuzaa tafsiri nyingi mno , moja wapo hii mada.
 
Naona mnajaribu kila mbinu
 
Msemaji hakuwa na nia mbaya, sema namna tulivyoitafsiri ndo penye ukakasi.

Sifa ya chura mara zote hufanya mambo pasipo kumjali mwenzake, anasahau hata huyo mwenzie ana hisia kama alivyo yeye, akiguswa pabaya anaumia kama anavyoumia yeye.
 
Nakumbuka alianzisha utaratibu kwa kusema ukimvaa basi Chawa wake watakuvaa. Hivyo anao hao chawa yaani viumbe wachafu.
Majuzi kasema yeye ni "Chura kiziwi" hivyo hasikii kelele za nje.
Sasa kazi kwenu, maandiko katika
Ufunuo wa Yohana 16:13 " Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka, na katika kinywa cha yule mnyama, na katika kinywa cha yule nabii wa uongo.."
Kwa nini anapenda kujilinganisha na vitu vichafu? Tena kwa kauli zinazolinganishwa na "yule joka na nabii wa uongo?
Jee huu ni ufunuo au kuna siri gani ndani yake? Wajuzi watueleze
Hivi na yeye huwa anahutubia, au huwa anatoa mipasho?
Mi nilishaacha hata kufuatilia mipasho yake.
 
Usijisumbue sana.SSH ni mama wa kiswahili anayejielewa.Kutumia maneno ya kiswahili kwa mswahili ni jadi/mazoea yao.Sisi watu wa bara tunapata shida kwa vitu vidogo sana.Sasa mtu akijiita chura asiyesikia ndiyo utoe tafsiri za kikurya?🤣🤣🤣🤣🙏
Sijaelewa😀😀😀!
 
Ule mfano wa chura ulikua wa kawaida sana sema tu vile tunavyo chukulia kauli za viongozi wetu na kuzihuisha.
Angeweza kutumia mfano wa mbuzi kondoo au sungura ila alimua kutumia chura kulingana na mapokeo ya hio hadithi ya chura .

Ile ya chawa alikua ana tembea na trend,kipindi kile wanaoitwa chawa ambao ni wafuasi na wapambe wa mtu fulani walikua wanavuma na yeye akatembea na huo mvumo.

Kinachotakiwa kama kiongozi mkubwa namna hio awe anaandaa kwanza mawasilisho yake siku moja kabla ya kuwasilisha kwa uma,ikiwezekana wawepo watu wa kupitia na kuekebisha , maana likisha wasilishwa neno katika jamii huwa linanyumbuliwa na kuzaa tafsiri nyingi mno , moja wapo hii mada.
Viongozi wa kitaifa wote wanatakiwa wachunge kauli zao kawaida ya mwanadamu akili yake ni kuhifadhi na kuchakata alicho hifadhi
 
Mama ni mtu wa pwani, hivyo TAARABU na MIPASHO havikosekani kinywani mwake.

Subiri siku mumkere sana badala ya kutoa hotuba anawawekea nyimbo za taarabu, FISADI KIWEMBE, Mchambwe na redio kwanza 😂🤣
 
Nakumbuka alianzisha utaratibu kwa kusema ukimvaa basi Chawa wake watakuvaa. Hivyo anao hao chawa yaani viumbe wachafu.
Majuzi kasema yeye ni "Chura kiziwi" hivyo hasikii kelele za nje.
Sasa kazi kwenu, maandiko katika
Ufunuo wa Yohana 16:13 " Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka, na katika kinywa cha yule mnyama, na katika kinywa cha yule nabii wa uongo.."
Kwa nini anapenda kujilinganisha na vitu vichafu? Tena kwa kauli zinazolinganishwa na "yule joka na nabii wa uongo?
Jee huu ni ufunuo au kuna siri gani ndani yake? Wajuzi watueleze
Wapekuzi wa mambo tutafute kwanza tabia za mdudu ""chawa na kiumbe chura"" alafu tuje hapa kuunganisha doti kwenye watakuvaa na hapa kwenye kiziwi
 
Back
Top Bottom