Majina Anayotumia "Mama" Yanaleta Ukakasi, Jee Kunalililo Fichika?

Majina Anayotumia "Mama" Yanaleta Ukakasi, Jee Kunalililo Fichika?

Nakumbuka alianzisha utaratibu kwa kusema ukimvaa basi Chawa wake watakuvaa. Hivyo anao hao chawa yaani viumbe wachafu.
Majuzi kasema yeye ni "Chura kiziwi" hivyo hasikii kelele za nje.
Sasa kazi kwenu, maandiko katika
Ufunuo wa Yohana 16:13 " Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka, na katika kinywa cha yule mnyama, na katika kinywa cha yule nabii wa uongo.."
Kwa nini anapenda kujilinganisha na vitu vichafu? Tena kwa kauli zinazolinganishwa na "yule joka na nabii wa uongo?
Jee huu ni ufunuo au kuna siri gani ndani yake? Wajuzi watueleze
Picha linanza mama anapenda mziki wa taarab ……… mwimbaji ni malkia wa mipasho hadija kopa sasa hapo unashangaa nni mkongwe
 
Back
Top Bottom