Majina awamu ya pili lini!

Majina awamu ya pili lini!

bia

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2011
Posts
257
Reaction score
30
Najua huku wapo watu wenye kupata taarifa za uhakika,tafathal nijuzen ajira ya ualimu awamu ya pili yatatoka lini mana mwanzo nimekosekana,pls mwenye taarifa anijuze
 
Najua huku wapo watu wenye kupata taarifa za uhakika,tafathal nijuzen ajira ya ualimu awamu ya pili yatatoka lini mana mwanzo nimekosekana,pls mwenye taarifa anijuze

subiri watatoa tena kuanzia tar 11 mwezi huu maana wengi walioenda kulipoti inasemekana wanakimbia,
 
subiri watatoa tena kuanzia tar 11 mwezi huu maana wengi walioenda kulipoti inasemekana wanakimbia,
hao wanao kimbia ni mazoea tu!huwezi uka assess mazingira na ku conclude kuwa magumu ndani ya siku 3 hizo walizokaa vituoni!for sure hao kama wangevumilia huko huenda wangepapenda na wasingekuja kutamani kuondoka huko!!na ushauri wa marafiki na ndugu unatuharibia watu!!kula kulala watu wengine wanaipenda sana!
 
awamu ya pili yatatoka mwezi wanne kuanzia tar 30 hadi watani tar 10 baada ya riport za hawa walio ajiriwa sasa kuifikia tamisemi , hawawezi wakatoa mwezi huu wakat bado wanaendelea kuriport,,baada ya tar 15 mwezi huu halmashauri zote zinatakiwa zitume orodha za walimu walio riport na kubaki vituon ili kupata idadi ya ambao hawajariport ili wale ambao hawakupangwa waka fix nafasi hizo. Hivyo muwe na subira.
 
Kuna majina 83 yaliyotolewa tar 30 Mwezi Machi kwa waalimu waliobadilishwa vituo, je ndio hayo uuliziayo?
 
Kuna majina 83 yaliyotolewa tar 30 Mwezi Machi kwa waalimu waliobadilishwa vituo, je ndio hayo uuliziayo?

nafikiri siyo hayo mkuu ni wale ambao hawajapangiwa na wanavigezo vyote waliambiwa wasubiri mpaka tarehe moja ndiyo hiyo haieleweki..
 
just be patient,serikali yetu ni sikivu tutapangiwa tu,tuombe mungu
 
Back
Top Bottom