Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua huku wapo watu wenye kupata taarifa za uhakika,tafathal nijuzen ajira ya ualimu awamu ya pili yatatoka lini mana mwanzo nimekosekana,pls mwenye taarifa anijuze
hao wanao kimbia ni mazoea tu!huwezi uka assess mazingira na ku conclude kuwa magumu ndani ya siku 3 hizo walizokaa vituoni!for sure hao kama wangevumilia huko huenda wangepapenda na wasingekuja kutamani kuondoka huko!!na ushauri wa marafiki na ndugu unatuharibia watu!!kula kulala watu wengine wanaipenda sana!subiri watatoa tena kuanzia tar 11 mwezi huu maana wengi walioenda kulipoti inasemekana wanakimbia,
Kuna majina 83 yaliyotolewa tar 30 Mwezi Machi kwa waalimu waliobadilishwa vituo, je ndio hayo uuliziayo?