Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Kuna jamaa pia tulikuwa naye Swiss Aid akiitwa Justin Mdemu mtu wa Iringa alikufa ghafla akiwa kikazi Kigoma
Whaaaat, Justin Mdemu alishafariki? Alifariki mwaka gani wakubwa? Ninamfahamu alifanya taasisi moja akiwakilisha Save the Children katika mradi Fulani hivi. Nimesikitika sana. Alikuwa mchangamfu sana.