Kuna jamaa pia tulikuwa naye Swiss Aid akiitwa Justin Mdemu mtu wa Iringa alikufa ghafla akiwa kikazi Kigoma
Jina langu kujulikana JF ni sawa na kusema ardhi ma mbingu zikutane!!! Labda watumie njia za kisayansi kunipata tu ila kuwaambie eti moderator no way. Kila kitu ni fake tu kuanzia email uliyoingia nayo hapa please tengeneza special wakubwa. Never use your official or personal email address inayofahamika!!! At least wakitaka kukutafuta iwe kazi ya ziada wakitumia IP address and the like. Rest in Peace our heros..
hatumuoni siku hizi humu, au na yeye Rest in piece?
Mkiona sija sign mwaka mzma ndo mjue nimesha RIP
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mararia Sugu yuko hai kweli? Na yule Rejao
Mkiona imepita week nzima sijaingia humu, tafadhali wasilianeni na JF Rock City wing wa taarifa zaidi...
Jina langu kujulikana JF ni sawa na kusema ardhi ma mbingu zikutane!!! Labda watumie njia za kisayansi kunipata tu ila kuwaambie eti moderator no way. Kila kitu ni fake tu kuanzia email uliyoingia nayo hapa please tengeneza special wakubwa. Never use your official or personal email address inayofahamika!!! At least wakitaka kukutafuta iwe kazi ya ziada wakitumia IP address and the like. Rest in Peace our heros..
Whaaaat, Justin Mdemu alishafariki? Alifariki mwaka gani wakubwa? Ninamfahamu alifanya taasisi moja akiwakilisha Save the Children katika mradi Fulani hivi. Nimesikitika sana. Alikuwa mchangamfu sana.
Kuna jamaa pia tulikuwa naye Swiss Aid akiitwa Justin Mdemu mtu wa Iringa alikufa ghafla akiwa kikazi Kigoma
Ndugu yaka hapa JF kwa ID ya Twilumba alipost kuwa walimzika May 2010 na si October, 2010. Iliniuma sana enzi nilimfahamu akiwa kijana with young family, alikuwa mchangamfu sana anayejiamini katika kazi. Hope ndiyo maana alikuwa anajiriwa International NG'Os.ni kweli huyu jamaa alifariki ghafla kwa ugonjwa wa presha akiwa wilayani kasulu. Ilikuwa mwezi wa 10 mwaka 2010. Jamaa alikuwa mtu wa watu.
Nadhani ni vema kuwaenzi na kuwakumbuka mashujaa wetu waliofariki kama alivyopendekeza PJ kwenye posti moja hivi. Mimi naanza:
1. Juma Kidogo
2. Baruti Mwesiga aka Kandambili
3. Profesa Jwani Mwaikusa
4. Regia Mtema
5.