Majina halisi ya WanaJF waliofariki

Ukipotea nitalia sana maana kipenzi changu cha kunichekesha nitakikosa. I like no sorry i love your comments ungekuwa mke wangu ningenenepa kwa kucheka tu
Mkiona imepita week nzima sijaingia humu, tafadhali wasilianeni na JF Rock City wing wa taarifa zaidi...
 
Mwita25 mzee wa ung'eng'e na majigambo..sijui yupo hai.. Kyoma.. huyu jamaa alikuwa noma kwa madesa.. nakumbuka kila sentence alitoa reference.. bila shaka hatunae huyu msomi
 
Last edited by a moderator:
Hivi ktk community hii yote ya Jf usijuane na mtu kweli? Hata mnaoendana IQ mkafahamiana nje ya keybd?
 
Reactions: BAK
Mimi humu wapo kama watatu ninaofahamiana nje ya key board na ni ndugu zangu wa karibu. Nikifa nadhani taarifa zitapatikana tu.
 
tunajuana sana tu

mimi peke yangu ndio nina bahati mbaya.tangu nilipo jiunga jf mwaka 2011 to date,cja bahatika kukutana/kufahamiana na member yeyote wa jf nje ya mtandao.cku nikifa ni ndg,jamaa na marafiki ndio watakao fahamu kwamba kijana kadoda11 hatunae duniani.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…