Majina halisi ya WanaJF waliofariki

Mimi siku nikirest in peace mnikumbuka kama mtoto wa kindali kutoka mbozi
. Rest in peace kwa mliotangulia
 
masikini mimi ambaye hakuna ajuae jina langu halisi nikifa sijui wana jf wenzangu watajuaje nimekufa?
hata hivyo nitajivunia hata huko niyakapokuwa kuwa nilikuwa member wa forum muhimu kwa jamii ya JF.
and i will tell ma self RIP me.
Ndio maana Mimi niliamua kuja na verified user, ili nikifa walau mnitakie RIP wanajf wenzangu!!
 
masikini mimi ambaye hakuna ajuae jina langu halisi nikifa sijui wana jf wenzangu watajuaje nimekufa?
hata hivyo nitajivunia hata huko niyakapokuwa kuwa nilikuwa member wa forum muhimu kwa jamii ya JF.
and i will tell ma self RIP me.
Usipate tabu Iron Lady niko hapa Mimi nikujuaye A - Z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…