Majina halisi ya WanaJF waliofariki

Majina halisi ya WanaJF waliofariki

Kuna jamaa pia tulikuwa naye Swiss Aid akiitwa Justin Mdemu mtu wa Iringa alikufa ghafla akiwa kikazi Kigoma
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] Dah ni kaka yangu kabisa huyu jamaa!

Pumzika kwa amani Bro Justine
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Whaaaat, Justin Mdemu alishafariki? Alifariki mwaka gani wakubwa? Ninamfahamu alifanya taasisi moja akiwakilisha Save the Children katika mradi Fulani hivi. Nimesikitika sana. Alikuwa mchangamfu sana.
Alifariki aisee kaka yangu!
Alikuwa kigoma kikazi inaonekana aliwekewa sumu kwenye kinywaji!

Aliacha mjane na watoto wanne!

RIP brother Justine!
 
Kwakuwa umechapia kiingereza Ukhty faiza utamuona
Ha ha ha their vs they. Kitambo sana hii comment, maana mwita 25 alipotea mazima, faiza yupo sana, rejao hasomeki sana lkn yupo yupo
 
Back
Top Bottom