Majina halisi ya WanaJF waliofariki

Majina halisi ya WanaJF waliofariki

Kuna Dada mmoja alikuwa anafanya redcross Kigoma nayepia
 
Kuna mwingine aliyekuwa anaitwa Felix; alifariki ghafla sana miaka takriban mitano iliyopita huko St Louis Missouri, tukaambiwa alikuwa member wa hapa JF lakini username yake haikufahamika mara moja.

RIP wenzetu wa JF mliotangulia mbele ya haki; mwenyezi Mungu aendelee kuzipumzisha roho zenu kwa amani.
 
muongeze....kipenzi cha Islam.....
lakini kwa maoni yangu.....kama marehemu hawakupenda kujulikana uhalisia wao....why leo tuwafichue hadharani....? mi naona bora tuwaombee walale kwa amani....coz hata tukiwajua leo ni too late.....huo ni mtazamo wangu.....
 
very true. Boss wangu akijua ndio mie nam'balasa humu, hata shada la ofisi halitakuja wallah.
 
Back
Top Bottom