Majina maarufu ya Kihaya

Mpoki ni jina la Kinyakyusa, maana yake anayeponya au mponyaji...

Yule jamaa anayeigiza ucheshi anaitwa Mpoki Mjuni, anaonekana ni mixer ya Kihaya + Kinyakyusa.

Bila shaka mama ni Mnyaki na baba ni Mhaya...

wahaya bwana, kwa vile ukoo wa Mpoki ni maarufu wanaubadilisha kuwa wa kihaya
 
Ndugu Rumisha Karugendo Chikambi Mtambukamalogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…