Majina maarufu ya Kipare....!

Majina maarufu ya Kipare....!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,421
Majina 25 maarufu ya Wapare ya KIUME:

1. Kirimbo
2. Mrisha
3. Kilango,
4. Kitururu,
5. Mkodo,
6. Mshigheni,
7. Mfinanga,
8. Marimbocho,
9. Kimashi,
10. Mkundi
11. Kibacha
12. Sengasu
13. Mshitu
14. Sekiete
15. Kajiru
16. Kajivo,
17. Masanzua
18. Kiondo- Jina hili lipo kwa Wasambaa pia
19. Msechu - Jina hili lipo kwa wachaga pia
20. Minja - Jina hili lipo kwa Wachaga pia.
21. Msifuni
22. Mavanja
23. Kinenekejo
24. Kihiyo
25. kahungo
26. Kapwete
27. Kakoshi
28. Teendwa
29. Katumbi
30. Mshighati


Majina 20 ya Wapare ya KIKE:

1. Kolambo
2. Koero
3. Kilalo,
4. Nangasu
5. Nakiete
6. Niendiwe
7. Namwai
8. Namdori
9. Nakadongo
10. Nakijwa
11. Naetwe
12. Kokiondo
13. Namsi
14. Tevarirwe
15. Nambua
16. Namshamba
17. Nambosi
18. Mshinwa
19. Kandi
20. Kokiangi

Haya ongezeni mengine.....................
 
Back
Top Bottom