Majina maarufu ya utani kumaanisha mtu ni tajiri

Majina maarufu ya utani kumaanisha mtu ni tajiri

Ukiwa tajiri kuna raha yake bana, maana utapewa majina kede kede ya utani ku signify utajiri wako.


. KIFARU
. KIFAMBA
. ZIMBA
. FOGO
. FAZA
. BABA PAROKO


Ila haya ni kwa upande wa huku kaskazini zaidi, ningeomba na nyie mtuambie sehemu ulipo, tajiri huwa anaitwaje kwa jina la utani.
Mwenye mawe

Tycoon

Mnyama
 
Taita
Boss kubwa
Meli
Kibopa
Kirenga
Kibosile
Baadhi yanaweza kuwa old school kwa vijana wadigo..[emoji3]
Taita na kibosile ni maarufu sana
 
Back
Top Bottom