Kibaoni,Kona,Njia Panda,KilabuniWakuu, nawaletea vituo vya daladala vyenye majina maarufu karibu kila mkoa hapa Tanzania...Shule, Kanisani, Kona, Kwa Bibi, Chama, Makaburini, Msikitini, CCM, Njia Panda, Gereji, Msaada Tutani. Halafu Kuna vituo vyenye majina ya Kichaga...Kwamasawe, Kwamrema, Kwaasenga, Kwamrombo. Na wewe ingiza uzoefu wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhhhh hii Tanga
Bakhresa Masaki