Wakuu, nawaletea vituo vya daladala vyenye majina maarufu karibu kila mkoa hapa Tanzania.
Shule, Kanisani, Kona, Kwa Bibi, Chama, Makaburini, Msikitini, CCM, Njia Panda, Gereji, Msaada Tutani.
Halafu kuna vituo vyenye majina ya Kichaga: Kwa Masawe, Kwa Mrema, Kwa Asenga, Kwa Mrombo.
Na wewe ingiza uzoefu wako.
Sent using Jamii Forums mobile app