Majina maarufu ya vituo vya daladala nchini

Majina maarufu ya vituo vya daladala nchini

soko mjinga
Tundusonangu
kibugumo
buyuni
midole wima
kisamvu kipya
mashine
kwa Simba
butcher la papa
nb:yote jijini dar es salaam hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sabasaba - kwa Azizi Ali
Sabasaba - Mbagala

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
vituo vya kwetu zanzibar ni kama ufuatavyo:

mchamba wima,
makunduchi,
kinyama cha hamu,
Panua paja gogo laja,
Muhogo wa jang'ombe,



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom