Majina magumu JF lako lipo?

Majina magumu JF lako lipo?

Tayukwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
2,178
Reaction score
4,410
Salaam wakuu. Niende kwenye mada moja kwa moja.

Kumekuwa na mambo mbali mbali yenye kujenga, kufundisha na kuburudisha. Lakini katika wingi wa mambo hayo huwa inatokea mtu unataka kutoa ushuhuda wako, kumuita mtu aje kuchangia au kutoa maelezo zaidi ndipo unatamani umtag mtu unaemhusudu ktk hilo.

Hali huwa ngumu kufanya hivyo pale unapokuta kuna mtu unataka kumuita lakini jina lake mwanzo mpaka mwisho ni kama herufi za kichina. Au jina refuuu

Najua kila mtu anasababu ya jina la humu alilolichagua lakini si mbaya km watu wakajitambulisha kwa jina jipya ambalo ni rahisi.

Naamini hata umaarufu wa mshana umetokana na jina lake na mambo yake.

Taja jina hata kwa kukosea herufi tu lakini uwe umeonesha msisitizo.
 
Back
Top Bottom