Majina marefu ya Kiafrika, naomba uongeze ulijualo

Majina marefu ya Kiafrika, naomba uongeze ulijualo

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Kati ya majina marefu ya kiasili niyajuayo ni haya:

Uvuvwevwevwe Onyetenyevwe Ugwemubwem Ossas toka Nigeria. na Andriantsimitoviaminandriandehibe, Andriantsimitoviaminandriandrazaka, na Andrianampoinimerinatompokoindrindra toka Madagascar.

Waweza kuongeza ujualo tafadhali ili tuanze safari ya kujitafuta baada ya majina yetu kuibiwa na kuzikwa na hizi dini za kisenzi tulizo nazo sasa.
 
Daah
Tupe maana ya hayo majina pia
 
Back
Top Bottom