Majina mbali mbali ya fedha!

Majina mbali mbali ya fedha!

Tigershark

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
7,051
Reaction score
12,566
Katika vitu vyenye majina mengi hapa bongo na duniani basi ni fedha!Naweka machache hapa,hebu nawe ongezea tuone maajabu ya fedha!
-Pesa
-Mkwanja
-Mapene
-Mshiko
-Noti
-Mchele
-Mavumba
-Ngarawa
-Keshi
-Mtonyo
-Madini
-Mpunga
-Mawe

Daaaaah,hii pesa hii!
 
pia inafahamika kama 'nguvu za kiume' kwa wanaume wa dar tuu
 
Back
Top Bottom