Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Jina kama Bujibuji... kwa roho safi kabisa sijawahi sikia na ingawa
naliona bado sijalizoea.... naomba niambie maana yake nini...
hujakuliaaaa maporinbi wewe, bujibuji ni mzimu wa kizaramo.
Jamani, baba mwenye nyumba wa ninapoishi, jumamosi alijaaliwa kupata mtoto wa kiume. Mtoto kapewa jina Graduation.
Nikauliza kwanini mtoto aitwe hivyo, kasema anataka mwanawe asome hadi awe Rais.
Kimoyomoyo nkasema, tumtakie kila la kheri, asije kuwa rais wa chama cha wapigadebe Manzese
jamani, baba mwenye nyumba wa ninapoishi, jumamosi alijaaliwa kupata mtoto wa kiume. Mtoto kapewa jina graduation.
Nikauliza kwanini mtoto aitwe hivyo, kasema anataka mwanawe asome hadi awe rais.
Kimoyomoyo nkasema, tumtakie kila la kheri, asije kuwa rais wa chama cha wapigadebe manzese