Hupewi bila kuomba.
Kuku hujamjulia bata utamuweza.
Hima hima nikupe anachokunyima.
Wenzio twaoga wewe waroga.
Raha ya shavu liwe kavu.
Du bantu lady wewe ni noma yaani zote kali sana
Kwangu umefika.
Kama wewe mjuzi, chachandu za nini tena.
Si umezoea kusema, kaseme tena.
Ikitoka nitaingiza.
Sijamtaka nikimtaka namchukua.[/QUOTE
Umenikosha kwakweli.
Karibuuu
cc: Activister
Ruksa kupitiliza Barazani?
Yamekuwa hayo tena jamani kaka yangu.
Hahaaaa haaa teh teh teh si naenda rekebisha Boriti za Kitanda dada.
Kwani zimelegea? mmmh hayo mi simo.
Basi nakuja funga Kiyoyozi.
Kipo sijui unataka nini atii. Fundi wa chochote nitatafuta mimi.
Kwangu umefika.
Kama wewe mjuzi, chachandu za nini tena.
Si umezoea kusema, kaseme tena.
Ikitoka nitaingiza.
Sijamtaka nikimtaka namchukua.