Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Kwangu umefika.

Kama wewe mjuzi, chachandu za nini tena.

Si umezoea kusema, kaseme tena.

Ikitoka nitaingiza.

Sijamtaka nikimtaka namchukua.
 
Unachomnyima miye nampa.

Mwanamke umbea kusutwa suna.

Kama wamridhisha asingenifuata.

Kwako kijiti kwangu mti.

Sio mizizi nakuzidi ujuzi.
 
Hasidi hana sababu.

Twaila nyama wewe mfupa, ukimnyima siye twampa.

Ya mitaani uyajue wewe, yako ayajue nani?

YOU KNOW NOTHING.

Japo chungu we meza.
 
ImageUploadedByJamiiForums1392571112.973897.jpg
 
"Alaa kumbe!"
"Kama majungu mtaji wengi wangetajirika"
"Usisafirie nyota ya mwenzio"
"Mpanda hila huvuna majuto"
"Raha ya mchuzi ni dikodiko"
"Si kwa bunduki, si kwamkuki, kwake sibanduki"
"Kula nanasi kwahitaji nafasi"
 
Kwangu umefika.

Kama wewe mjuzi, chachandu za nini tena.

Si umezoea kusema, kaseme tena.

Ikitoka nitaingiza.

Sijamtaka nikimtaka namchukua.

Nimeipenda sana hiyo khanga uliyovaa asubuhi laazizi wangu Bantu lady,,"Kwangu umefika",,;,nimefika sifurukuti dia!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom